Linda faragha yako kwa kutoa metadata kutoka kwenye picha zako kabla ya kupakia kwenye mtandao!

Vipengele:

✔️Angalia metadata
✔️Kuangalia picha
✔️Kutoa metadata

kiolesura rahisi na kinachopendeza
✔️Gawa moja kwa moja kutoka kwenye programu

Soma zaidi:

Kila wakati ambapo unapiga picha, metadata ziada inaokolewa kwenye picha.
simu mingi huwa hazikwambii kuhusu haya.

metadata inawefanana na hivi:
🕑 ni siku gani ambayo picha hii ilichukuliwa, na ni saa ngapi?
🗺️ na mahala wapi kwa uhakika?
📷 ni kamera ama simu gani ilitumika?
🔧 ni mpangilio upi wa kamera ulitumika
📝maelezo ya mpiga picha ama ya kamera?
📌zaidi an zaidi, hata mahala ambamo ulipo(GPS) inaokolewa kwenye picha.

metadata kwa wakaa mwingine inasaidia- kwa mfano unapochagua picha za sikukuu!
lakini baada ya kuipakia kwenye mtandao wa kijamii, kila mtu ako na uwezo kwa kuona metadata yako.
wakusanya data na waviziaji, wana uwezo wakujua mahala unapoishi ama pale unapofanya kazi kutoka kwenye metadata na wataweza kujuwa na kuelewa ratiba yako ya kila siku.
huduma za ufuatiliaji wanaweza kuunda matangazo yanayo kuhusu na pia kuuza data yako kwa kampuni zingine.

kwa kutumia programu yetu(app), unaweza ona data yako yote, uiotoe kabisa, na kisha upakie picha yako maramoja!
hivyo unakaabila kujulikana na salama kwenye mtandao, wakati ambao marafiki zako wanafurahishwa na paka yako.

gawa na furaha!